Goli pekee la Stephane Aziz Ki limeipeleka Yanga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFConfederationCup dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Ni mechi ya marudiano iliyopigwa kwenye Dimba la Olympic De Rades Tunis nchini Tunisia baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza kutoka suluhu…. kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
a mayor selección de Camisetas de fútbol baratas está en eBay ✓ Compra equipaciones de fútbol y más al mejor precio ✓ ¡Con opción de envío gratis Accede a todas las noticias del fútbol Internacional. ¡Todo el fútbol internacional, aquí!
48 opiniones en “Club Africain 0-1 Yanga SC | Destacados | Copa Confederaciones CAF 11/09/2022”
Comentarios cerrados.
Kmc
Yanga jamani, ni hatari sana
Huyu wa highlights ni kolo alikuwa anaedit plus mtangazaji kaboa kutangaza goal.
Number 2 on trending 🙌🙌🖤💛💚
diarra anaipambania san tim yak hongr zang zot zmfikie popt pal alipo
Highlights yakisenge sana bora mngekausha tu mamaye zenu
Waarabu wanajiangusha mnooooo
Sisi ni wananchi
Merci beaucoup bon voyage.Daima mbele Nyuma mwiko
Niwa francophones
Nice
Ik.
Highlights ya Kishamb hiiii sana yaaani Ina faulo tu
Mmekusanya faulo ndonmmeweka kwa highlights
Highlights mmefeli sana wazeeee
Congrats young africanz
Nic
Match ya makosa mengii 🤣🤣
Wananchiii
Hongereni kwa kujaribu!
02 on trending so far
Yanga 💛 pamoja saaan
Mimi yangya
azam hii hylit yawal hii mbon mnatuletea vitu vyakikumanina hiv
YANGA mbele congratulations 🌹🥰💛💚💛💚
Azam TV rekebisheni hiyo highlights haina utamu wowote unaoendana na utamu wa mechi ilivyokuwa.
Alaf yanga mlipendez san na jezi zenu yan
Nkupenda yanga yangu…
Yangaaaaa Oyeeeeeeeeeeeee
Beautiful 🇹🇿🇹🇿✔✔💯.
Yanga
Nalikubali chama langu young africans
Kwa mpira huu yanga bado Sana cox wanacheza Sana rough watatoka mapema
Muweke mechi nzima Kuna wengine tunatak kurudia game yote @azamtv
Asante wa chezaji wote wa Yanga
Aliyetengeneza highlight kazngua xna
Nabi nabi nabi
aliyechukua hii video atakua anajifunza kaz
👇👇👇🔥🔥https://youtu.be/qS62CY7jM68
Kuna mashabiki mbwa sana,eti Nabii aondoke,atafundisha baba enu timu yetu? Mbwaaa nyieeeee
Ongereni sana wachezaji wa yanga Africans 🙏 mungu awabaliki sana jumla na kocha wa yanga Africans bwana awe NANYI by Daniel mussa gangaga
Alieedit hii highlight bila shaka ni KOLO moja mjinga, Amekata best momens zote, anatakiwa afukuzwe kazi hafai kua hapo,Kolooo
Matumaini yang ndio haya
Azam hivi mnajua kama ma bundle yamepanda bei lakin? Hizi highlight zenu jarbuni kupunguza dakika mchukue matukio muhimu tu
Sijuwi. Majirani. Walilotubeza. Wananchi. Vibaraka. Mtaonahaya. Kiasigani. Wajinga. Kidunia
Azam kweli hii ndo highlight ya mtu kuangalia… mnatuonesha fouls badala ya best moments of the match? Kweli
Aziz ki
Hatuwapendi. Bonn. Maandazi